“Toka” - Band BeCa

Toka - Band BeCa

➧Band Beca


Plays : 5,738
Downloads : 4,378
Album : N/A

Like us on Facebook:

“Toka” Lyrics

VERSE 1
Nilikuwa nishapenda tena sana
Kwa mapenzi ndani nikazama
Roho yangu nayo nikakupa
Weeeeweeee
Nimechoka kuombwa msamaha
Wewe baki na huyo msichana
Na ile siku tutapatana
Staaaay awaaaay

PRE-CHORUS 1
I gave you everything and in return you gave me nothing
Oh nothing
We uliahidi na hukutimiza chochote
Chochoteee

CHORUS 1
Hebu enda mbali nami
Hebu enda mbali nami
Hebu enda mbali nami
Mi sitaki chali ambaye hanijali ×2

DANCE SEQUENCE 1
TOKA TOKA TOKA
Mbali nami
TOKA TOKA TOKA
Mbali nami

VERSE 2
I'll find myself another man
Who deserves me
Anipendaye kuliko weee
Wa kunijali
Coz baby you never cared
Oooohhh Oooohh
How can love be so unfair

PRE-CHORUS 2
I gave you everything and in return you gave me nothing
Ohh nothing
We uliahidi na hukutimiza chochote
Chochoteee

CHORUS 2
Hebu enda mbali nami
Hebu enda mbali nami
Hebu enda mbali nami
Mi sitaki chali ambaye hanijali ×2

DANCE BREAK
BRIDGE
Nimekosa nini
Why you always lying
Nimechoka mimi
Always leave me crying
Nimekosa nini
Why you always lying
Nimechoka mimiiiii

DANCE SEQUENCE 2
CHORUS
Hebu enda mbali nami
Hebu enda mbali nami
Hebu enda mbali nami
Mi sitaki chali ambaye hanijali ×2

TOKA TOKA TOKA
Mbali Nami
TOKA TOKA TOKA
Mbali nami
TOKA TOKA TOKA
Mbali nami